Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(400,000 × 6) KIMARA KOROGWE
HAPA KUNA NYUMBA 4 ZIKO MBALIMBALI MOJA KUBWA INAKUWA WAZI TAREHE 30/03/2024
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 8 - 7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 BILA KUPUNGUA MIEZI
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300