Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


——
APARTMENT NZURI SANA YA KISASA INAPANGISHWA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 4 TUU KWENYE ENEO MOJA NA HII MOJA NDIO IPO WAZI
#ZIPO NDANI YA FENSI YA WAYA MZURI
BEI NI 220K X 6
ILPWE LAKI 2 NA ELFU 20 TUU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU
Kupelekwa kweny nyumba elfu kumi na tano itadumu mpaka unapata nyumba dalali mwenzi mmoja
Itakuwa wazi tarehe 1 mwenzi 10
0677445508