Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







CHUMBA MASTER NA JIKO LA PEMBENI KALI SANA
KODI 120,000X6
LOCATION: KIMARA STOP OVER AU UNAWEZA PITIA KIMARA MWISHO
UMBALI KM 1.2
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
MAJI YANA TILILIKA NDANI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
0712656027