Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTIMENT
INAPANGISHWA MAHALI
KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI km 2 njia ya rami
Kodi 700,000/=X6 ...5...4...3 MWISHO UNALIPA
HII NYUMBA INA VYUMBA2 VA KULALA KIMOJA
Master bedroom
Sebule
Jiko ( Open kitchen)
Public toilet
Internet
Full a/c
Luku yako & Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Paving block
Parking yakutosha
Service charge 20,000/=
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.