Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA 300,000/= X 6
PIGA SIMU 0755831740
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#PUBLIC TOILET
#HAKUNA MASTER
#LUKU INAJITEGEMEA
#INAYOPANGISHWA NI YA CHINI SIO GOROFANI
BEI NI 300,000/= X 6
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU
💥 KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA