Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NEW APARTMENT INAPANGISHWA ##120K
-------------
APARTMENT NZURI SANA YA BACHELOR INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA DK 3 MWENDO WA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD KIMARA MWENDOKAS TERMINAL
-------
SIFA ZAKE =
CHUMBA KIMOJA
MASTER BEDROOM
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI
UMEME LUKU ( SUBMITER YAKO )
MADIRISHA NYAVU MAZURI
TAILS
GYPSUM
FULL PAVING BLOCK
NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
--------
KODI NI LAKI 120,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
---------
NB =
NYUMBA NI MPYA UNAIANZISHA MWENYEWE KODI NI MIEZI SITA HAIPUNGUI NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA.
KUONA NYUMBA ELFU 15000
0713320608
0686334182