Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA IPO JIRANI NA BARABARA KUU INAPANGISHWA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA OPEN KITCHEN
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 250K X 6
ILIPWE LAKI 2 NA ELFU 50 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6-7 TUU KWA MIGUU
❌❌ KUONESHWA NYUMBA HII UTALIPIA PESA SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA SHILINGI LAKI 2 NA NUSU (250K)
0677445508