Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KIMARA MWISHO DK 5-7
CHUMBA MASTAR KIZURI SANA KINAPANGISHWA KODI TSH 100,000X6
HIZI MASTA MPYAAA!!! KABISA ZIPO NNE IMEBAKI MOJA TU WAHI MAPEMA USILEMBE ๐บ ๐ต ๐๏ธ ๐๐๐๐ฅ๐ฅ๐ฅ
UMEME UPO TAYARI
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI
UMEME LUKU SHEA 4 PAMOJA NA MAJI
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1