Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


💥 APARTMENT HII INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI #200K
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE NZURI
#JIKO ZURI OPEN KITCHEN
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 200K X 6
ILIPWE LAKI 2 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 7-8 TUU KWA MIGUU
GARAMA YA KUONESHWA NYUMBA HII NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0679447338
0753454167