Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYAA KABISA HII UNAZINDUA MWENYEWE
KODI 180,000X6
=======
LOCATION: KIMARA MWISHO
UMBALI KM 2.5
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA FLOW NDANI
IPO NDANI YA FENSI ILA HAILAZI GARI
======
USAFILI BODA 1000
BAJAJI 700
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
=====
CONT
0683234124
0718367179