Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MASTER BEDROOM YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
*CHUMBA MASTER BED ROOM, YANI CHUMBA NA CHOO CHAKE NDANI, MAJI DAWASA YANA FLOW CHOONI
*NYUMBA IKO NDANI YA FENSI, PARKNG SPACE KUBWA SANA
*LUKU YA KUSHEA WA 2 NA KILA MMOJA ANA SUB METER YAKE
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM2.5, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*KODI 110,000/= KWA MWEZI
_____________________________
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
======================
*WSP:
*CALL: 0627977383
======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
_____________________________