Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT 4 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA  PANGISHWA KIMARA MBEZI KWA MSUGURI DAKIKA 5 KUTOKA LAMI 
VYUMBA 3 VYA KULALA LIMOJA MASTER BEDROOM 
SEBLE KUBWA SANA 
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI 
PUBLIC TOILET 
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
SLIDE WINDOW 
NDANI YA FENCE
PAVING BLOCK 
PARKING SPACE KUBWA SANA 
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 600,000/=×6
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000 
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA 
PIGA CM USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA 
0652 508128 
0753 989554 
=====




















