Nyumba inapangishwa Kinondoni, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA 🏡🏘 APARTMENT INAPANGISHWA
__
IPO: BOKO CHAMA MITA 200 KUTOKA LAMI
__
INA VYUMBA VIWILI CHUMBA KIMOJA MASTER SEBLE NA JIKO
__
KODI: TSH 350K KWA MWEZI
__
ZIPO APARTMENT TATU NDANI YA COMPOUND KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI MITA YAKE
__
SERVICE CHARGE 20K
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA YA dalali_boris_boko_bunju
__
TUWASILIANE
Call / What’s up
+255673772289
Email:dalaliboris@gmail.com
#nyumba #nyumbanzuri #nyumbazakisasa #nyumbakali #apartment #tegeta #boko #kinondoni #daressalaam #tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿