Nyumba inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


Super Plot π₯
- Mahali: Kinyerezi Shule, mtaa mzuri.
- Hali: Kiwanja kiko ndani ya uzio (fenced).
- Bei: Milioni 60, maongezi yapo.
- Hati: Kina hati ya umiliki.
- Matumizi: Panafaa kwa makazi au Biashara. Mifano ya Biashara zinazoweza kufaa:
- Nyumba za kupangisha
- Bnb n.k.
- Mawasiliano: 0688 412 890.