Nyumba inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


Nyumba mpya inapangishwa Kinyerezi.
- Master
- Sebule
- Jiko (open kitchen) anaweka sink na makabati
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Wapangaji watatu
Kodi 200,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.