Nyumba inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


Brand New (apartment 4) nyumba hii inapangishwa laki-100000/=kwa mwezi mmoja-1.....laki-1.....Ina chumba kimoja kikubwa Cha kulala master bedroom tuu....
maji ndani safi ya dawasco..... space-parcking kubwa..... peving-brock....
mazingira mazuri turivu Sana.....ni apartment 4 ndani ya fensi moja......kila nyumba inajitegemea umeme na Maji..... nyumba ipo kinyerezi kisungu shule kwa makofia......dares saalam.....kwa mawasiliano zaidi sim no.0711819241.........what app....0752151589..... follow me.... dalali Michael kinyerezi yote..... Instagram.... Facebook.... Twitter.... YouTube..... Kodi ya miezi-6 anachukuwa.....bila kusahau-dalali hela yake ya mwezi mmoja-1..... sevice charge-15000/=dalali Michael kinyerezi yote..... napatikana kinyerezi mwisho.....dares saalam.... Tanzania...