Nyumba inapangishwa Kisima, Kilimanjaro


NYUMBA NZURIII SANAA INAPANGISHWA DODOMA
MAKULU
MUUNDO WAKE
✔️2 ROOMS AND 1 MASTER BEDROOM
✔️SEBLE KUBWA.
✔️JIKO ZURII LENYE MAKABATI.
✔️PUBLICTOILET.
FULL FENS NA GET
⚡️Paving Blocks uwanjan kote
Hakuna vumbi wala tope
⚡️Maji ya kisima + duwasa pia pana Tank za maji ya akiba
⚡️Usalama kama ote🛅Electical Wire
Huduma zote Inajitegemea. (Maji na umeme)
KOD N TSH LAK 400,000 mwezi malipo n miez minne.
#Site visit elfu 10,000/=
#Malipo ya kaz kod mwezi mmoja kamili.
#Mawasiliano zaid
#Call______watsApp 0718436694