Nyumba inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam


Inapangishwa ipo kunduchi ina vyumba
Vya kulala 2 sebule jiko na choo luku
Yako bei laki 3 kwa. Mwezi malipo yake
Kuanzia. Miezi 6 ipo kwenye. Fensi maji
Dawasa kwenda kukagua nyumba tunachaji
20000 sambamba na malipo ya dalali kodi
Ya mwezi baada ya kulipia. Nyumba kwa
Mawasiliano piga.
0746218111
0715422099
0784422099