Nyumba inapangishwa Madale, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA ZA KISASA ZINAPANGISHWA
📌📌 APARTMENT HIZI ZINA SIFA ZIFUATAVYO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA (OPEN KITCHEN)
#PUBLIC TOILET
#PAVING
#GARDEN NZURI
#LUKU NA MITA YA DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING YA KUTOSHA
💥ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO IMEBAKIA
💰BEI NI 350K X 6
📌📌 APARTMENT HIZI ZIPO MADALE MIVOMUNI JIRANI KABISA NA SHULE KONGWE YA ATLAS INTANATIONAL SCHOOL
#NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
No,0677445507
No,0677445508