Nyumba inapangishwa Madale, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINAPANGISHWA;
(ZIPO TATU KWENYE FENCE)
Location ::MADALE KONTENA
Bei Yake :: 650,000 Kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Viwili ( Vyote ni Masta)
📍Vyumba vyote vina makabati
📍Sebule & Dinning
📍Jiko kubwa Lina Makabati
📍Choo cha wageni
📍Fans & Air Conditions
📍Fence
📍CCTV Camera
📍Standby Generator
📍Motor Gate
📍 Full Airconditioners
Call/
0719969102
0714903124