Nyumba inapangishwa Madale, Dar Es Salaam


Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Madale polisi
Ina Vyumba Vinnie vya kulala, Vitatu ni Master, Dining Room, Sitting Room, Kitchen, Public Toilet.
Umeme wa Luku
Dawasa
Bei ni laki Saba kwa Mwezi.(700,000)
Gharama ya kuona
20,000
Wasiliana nami
0718 809 744


















