Nyumba inapangishwa Majengo, Kilimanjaro
KIWANDA CHA MAJI KINAUZWA.. AMA MWEKEZAJI UNAKARIBISHWA
(NDANDA SPRINGS PURE DRINKING WATER)
>>> KIWANDA KIPO NDANDA MASASI KINA ENEO UKUBWA WA HEKA 3, KINA MAJENGO MAJENGO MANNE ( 4 ) GODOWN AMBALO NDIO KIWANDA CHENYEWE, JUU YA GODOWN KUNA VYUMBA VYA KULALA 4 NA OFISI 4, KUNA KIWANDA CHA ZAMANI NYENYE MAJENGO 3, KUNA NYUMBA NDOGO YA KUISHI.
MACHINE:
>>>KUNA MACHINE ZA ZAMANI NA MACHINE MPYA KWAAJIRI YA UZALISHAJI NA KUNA MAGARI 10 AMBAYO YAPO YANATAUMIKA KWA USAFIRISHAJI .
UZALISHAJI
>>> KIWANDA KINAUWEZO WA KUZALISHA KWA SIKU BILA KUWEKA UZALISHAJI WA USIKU NI CATTON 8,000 NA KWA MWEZI NI COTTON 240,000, INGAWA KINAUWEZO WA KUZALISHA NA USIKU.
KWASASA KIWANDA KIMESIMAMA KWA MUDA WA MIEZI MITATU KUTOKANA NA CHANGAMOTO ZA KIFEDHA.
TUNATAFUTA MUWEKEZAJI, AMA MNUNUZI
KWA BEI YA KUUZA NI USD 1,000,000 LAKINI PIA KAMA ATAPATIKANA MTU WA KUINGIA UBIA ANAKARUBISHWA KWA MAZUNGUMZO
TUPIGIE +255 658 582977
KUJIUNGA NA GROUP GROUP LA WHATSAP WHATSAP HAPA https://chat.whatsapp.com/BLDVlGxAuXH2z2p5y9u9fq
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#regrann #nyumbazakisasa #nyumbanichoo #nyumbanzuri #auction #dalaliwanyumba #viwanja #mashamba #plot #kiwanja #cloudstv #nyumbanafuu #nyumbayakupanga #nyumbayangu #nyumbadareslaam #clouds #maishaninyumba
#daressalaam #wemasepetu #mwanza #kilimanjaro #nyumba #magari #tanzania #biashara #bongo #kariakoo #business #home #houseforsale