Nyumba inapangishwa Makongo, Dar Es Salaam
Nyumba Mpya: Master bedroom na Jiko 250k🏠
Specifications:-
• Nyumba ipo Maeneo ya Makongo✅
• Chumba Kimoja Master bedroom
• Jiko Lake Zuri Kabisa
• Fence Na Parking
• Nyumba ipo karibu na Main Road (dk 2 Za kutembea)
Payment Conditions:-
• Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 250k✅
• Malipo Ya Kodi ya mwaka (12)
Service Fee:-
• Gharama Za Kuona Numba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja
Hadi Utakapopata Nyumba)
• Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti kwa mawasiliano zaidi piga no 0780600341