Nyumba inapangishwa Makongo, Dar Es Salaam
Nyumba (apartments) inapangishwa Tsh 1,000,000/=
Makongo ccm,Dar es salaam Tanzania
_________
Nyumba ina vyumba 3 vya kulala/kimojawapo kina choo na bafu/Sebure/Jiko) sehemu ya kulia chakula/choo na bafu vya familia/umeme_luku/Maji_dawasa/AC nk
___________
*Mpangaji : Atalipia Tsh 30,000/= kupelekwa kuangalia nyumba + Kodi ya Mwezi mmoja kwa dalali ulipiapo nyumba.
____________
Napatikana ; Kinyerezi Dar es salaam Tanzania
*Piga simu/WhatsApp no +255(0)689508094