Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


APARTMENT NZURI SANAAA INAPANGISHWA š±
-PEKEAKE KWENY FENCE
šMAHALI- ILAZO Dsm road
šŖ MUUNDO
~~Vyumba V2 vya kulalaa (01 MASTER)
~~sebule kubw
~~Store
~~jiko zuri
~~Public toilet
______________________________
HUDUMA
~~Maji yapo muda wote
~~Umeme upo unajitegemea
~~Parking space kubwa
~~iko ndani ya fence
~~usalama wa kutosha
______________________________
š°MALIPO
~Bei ni 300,000 @ mwezi
-Muda wa malipo ni miez 4+
______________________________
NB; MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA..ATALIPIA MTEJAš
āļø MAWASILIANO
+255627262930 call/ wtsp
šāāļøGharama za kwenda site ni 10,000