Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


NAPANGISHA APARTMENT HII NZURI SANA YA CHUMBA MASTER SEBULE JIKO
LOCATION-SWASWA
MUUNDO WAKE
CHUMBA MASTER
SEBULE
JIKO ZURI
HUDUMA
MAJI YAPO
UMEME
PARKING SPACE IPO KUBWA
PERVING BLOCK ZIPO
WATER RESERVE TANK ZIPO
BEI-200,000/=MWEZI
MUDA WA MALIPO-MIEZI O3 +MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI UTALIPA MPANGAJI
GHARAMA ZA KWENDA SITE-10,000
MAWASILIANO
0682737603/0653232555