Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


*APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA sala sala KINZUDI.* zime baki tuu2
Zina vyumba 3, kimoja master na vyoo vyote vya kukaa master na public.
Nyumba zime kamilika mteja una weza hamia hata Leo yaani ukilipa tuu una weza ingia
*Bei:* laki 6, miezi 6.
Laki 6 kodi inajumuisha ulinzi na usafi.
Pakingi kubwa kabisa
Wahi mapema apartment ni nzuri na zipo sala sala kinzudi
Kwa mawasiliano zaidi piga no 0780600341