Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


APARTMENT INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-SALASALA
APART NZURI YA KISASA
MPYA YA KIBACHELA
YENYE;
Chumba kimoja cha kulala master, Sebule, Jiko, Stoo
Gypsum Tiles Slides Windows
Full AC/Heater maji moto Umeme Luku inajitegemea
Maji x Ulinzi + Wi-Fi ni free of charge viko included ktk kodi itakayolipwa
Nje Garden/Pavingblocks
FencedApart
KODI TSHS LAKI 7 KWA MWEZI
MAONGEZI YAPO i THINK! 🤔
KWA MAWASILIANO PIGA;
+255 718 936 416
+255 768 914 118
#NB/-Swipe left 👈 kusafisha macho yako sina mengi serikali ya mama kizimkazi hii banaa kama umechoka kuota unakimbizwa njoo upange hapo uamshwe na vindege 🤔