Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


.Nyumba hii inapangishwa laki-200000/=kwa mwezi mmoja-1... laki-2... inavyumba viwili vikubwa vya kulala....
Kimojawapo ni master-room Safi kubwa...
Sebule kubwa Sana... jiko ndani kubwa lenye makabati... public toilet ndani safi..
Maji ndani safi... mazingira mazuri turivu..
Space-parcking kubwa Sana...
Ni apartment 3 ndani ya fensi moja....
Kila nyumba inajitegemea umeme na Maji.
Nyumba ipo mongo la ndege-sokoni...
Dares saalam....kwa mawasiliano zaidi sim no.0711819241...what0752151589 app...0767078162... follow me... dalali Michael kinyerezi yote.... Instagram... Facebook... Twitter... YouTube.... Kodi ya miezi-4 anachukuwa...bila kusahau-dalali hela yake ya mwezi mmoja-1... sevice charge 15000/=dalali Michael kinyerezi yote... napatikana kinyerezi mwisho...dares saalam... Tanzania..