Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZURI MPYAAA KABISA
APARTMENT ZIPO MBEZI MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI WA DK 8 MPKA 10 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
USAFIRI BODA ELFU 1000 MPKA GETIN
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
SIFA ZAKE
=========
CHUMBA KIKUBWA
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI
CHOO NDAN PUBLIC
TILLES & GYPSUM
ALUMINIUM SAFI
LUKU YAKE
MAJI YAPO
MASAA 24
YANAFLOW NDANI
NDAN YA FENS
MAZINGIRA MAZUR
NA TULIVU
WAI MAPEMA ZIMEBAKIA 2 TU
SERVICHAJ ELFU 15
CONTACT
0742260844
0657384670