Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT KALI KABISAAA INAPANGISHWAAA HIII SIYOOO YA KUACHA NI MPYA NA UPYA WAKE
LOCATION:MBEZI MWISHOOO( mshikamano)
PIKIPIKI:1000
KODI YAKE:150,000=/ KWA MWENZI
MALIPO MIEZ 3
SIFA YA NYUMBA
✅CHUMBA
✅SEBURE
✅JIKO
✅CHOOO
✅FENI
✅UMEME NA MAJI WA KUSHARE
✅FENCE
✅PARKING KUBWA KABISAA
CONTACT
0782428327