Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


WAHII MASTER BEDROOM INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI
SIFA ZAKE
CHUMBA KIMOJA KIKUBWA NA CHOO NDANI
JIKO NDANI
UMEME NA MAJI MNASHEA WAWILI
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
BEI NI 150,000 X6 ILIPWE LAKI MOJA NA NUSU KODI YA MIEZI SITA
KUTOKA MOROGORO ROUD KM 2 USAFIRI UPO WAKUTOSHA BAJAJI 500
BODA 1000
UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DAKIKA TATU UMEFIKA
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15 UKIIPENDA UTAMLIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA
0679447338
0753454167