Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F10ed2cef-3f14-41b5-9c45-9805a44143e9.jpg&w=3840&q=75)
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F10ed2cef-3f14-41b5-9c45-9805a44143e9.jpg&w=256&q=75)
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 230,000/= X 3
π₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIKUBWA
#JIKO
#CHOO KIZURI CHA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 230,000/= X 3
ILIPWE LAKI 2 NA ELFU 30 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 3
ποΈ APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 700 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
0710614924
0688653940