Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA MBEZI KWA ROBART
BEI NI 400,000/=ร6
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#KIMOJA NI MASTER
#SEBULE
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#GARDEN
BEI NI 400,000/=ร6
ILIPWE LAKI 4 TUU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐๏ธ APARTMENT HII IP0 GOBA ROAD, KWA ROBART UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA GOBA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI 20,000/=
__
#0714335450