Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI MWISHO DK15 KUTOKA LAMI BARABARA SAFI YA LAMI MBAKA GETINI
-------
Chumba master
Seble kubwa sana
Jiko kubwa
Public toilet
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa
-------
Service charge 15,000/=
Kodi 300,000X6
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3
---------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big_kimara🇹🇿💥
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏