Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


Laki 8 vyumba v4 vya kulala masta. Moja .
Nyumba ipo. Mbezi masana kona kule
Njia ya kwenda senti meli ina dainingi jiko
Zuli pabliki. Ina ac bei laki (800,000)
Kwa. Mwezi. Malipo kuanzia. Mirzi 6 balabala
Rafiki kwa gali yoyote ile na kutoka lami. Ya
Mtaa nyumba ya 5 nyumba zipo. 2 tu kwenye compound moja kwenda. Kukagua
Nyumba Tunachaji. Sh 20000 na malipo. Ya
Kodi ya mwezi mmoja baada ya kulipia. Nyumba. Piga sim kwa. Mawasiliano
0784422099/0715422099/0746218111