Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







KODI 500000X6
===============
APATIMENT ZA KISASA ZIPO MBEZI MWISHO NJIA YA MALAMBA KITUO KIFURU
UKISHUKA KWENDA KWENYE NYUMBA KUTEMBEA DAKIKA 10
HADI KWENYE NYUMBA
===========
BODA BODA 1000
===========
SIFA ZA NYUMBA
INA VYUMBA VYA KULALA VIWILI KIMOJA MASTA
===============
SEBULE JIKO KUBWA
UMEME MAJI KILA NYUMBA INAJITEGEMEA
KUNA MLINZI PIA
===============
BARABARA INAFIKIKA MUDA HOHOTE
==========
KUPELEKWA KUONA 20000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MUMOJA
===========
NINA MTU MBELE
KAZI KUBWA IYO JAMANI
0713320608
0686334182