Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


CHUMBA KIMOJA MASTER CHA KIBACHELA KINAPANGISHWA
LOCATION:
MBEZI INN
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 10 KWA MIGUU
SIFA ZAKE:
NDANI YA FENCE
PACKING SPACE KUBWA
MAJI BURE
UMEME ELFU 5 KWA MWEZI
KODI 80,000 X 3
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA CM 0674860193