Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA STAND ALONE INAPANGISHWA
LOCATION
#MBEZI YA KIMARA DAR ES SALAAM
INA
√ #VYUMBA 2 VYA KULALA  KIMOJAWAPO MASTERS
√ #SEBULE 
√#JIKO 
√ #PUBLIC TOILET 
√ INA #TILES #GYPSUM #ALUMINIUM WINDOWS #ELECTRICITY # MAJI YA BOMBA #ENOUGH CAR PARKING SPACE
#PAVING BLOCKS NDIO ZINAWEKWA
IPO NDANI YA FENSI
KODI NI 250,000 KWA MWEZI
ILIPWE KUANZIA MIEZI 6
KODI YA MWEZI 1 KWA DALALI #MCHUNGUZI
CONTACTS
CALL/SMS/WHATSAPP: 0758491831




















