Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


MBEZI. MSUGURI SASA
📍APARTMENT FOR RENT
KALIIIIIII MNOOOOOO✊
-Vyumba vitatu kimoja Master bedroom
📌📌‼️ VYUMBA VYOTE VINA MAKATI YA NGUO
-Sebure Kubwa
-Dinning
-Jiko
-Store
-Public toilet ndani
-Full Garden
-Full NacshNacsh
-Fuuuull Paving
-Umeme 24/7
-Maji Safi Yanapatikana
-Full Ac
-Full Heater
🔥KAUNDA YA KUPUMZIKIA JUU
Location:Msuguri
Usafiri Bajaji/Daladala600
Km1.3 From Mainroad
NOTE.
Barabara ni rafiki kwa gari ya juu ila ya chini utabembeleza
KODI YAKE: LAKI 👉 4 BEIIIIII MSELELEKO
ILIPWE LAKI NNE KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI SITA.
NASEMAJEEEEEEEEEEEEE TULIZA MTOLI NYAMA SIO ZA KUULIZA
-Agent services Tsh 20000
Wahi nyumba ni kaliiiii mnoooooo
============
CALL 0683234124
0718367179
.
🏡🇹🇿 KARIBUNI SANA