Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


(170,000 × 6) MBEZI KWA MSUGURI
CHUMBA MASTER,SEBURE NA SEHEMU NDOGO YA JIKO INAPANGISHWA
NYUMBA BADO MPYA
PARKING SPACE KUBWA SANA
ZIPO NNE MOJA NDIO INAPANGISHWA
MAZINGIRA USALAMA MZURI
NA KILA MOJA UMEME MITA YAKE
MAJI YANAFLOW NDANI
KODI 170000 × 6
LOCATION:
KWA MSUGURI
DISTANCE:
DAKIKA 8 TU KUTOKA STAND
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300