Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
(200,000X5)MBEZIMWISHO (LUGURUNI)
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Apartment nzuri sana ya kisasa inapangishwa
Apartment hii ipo MBEZI MWISHO LUGURUNI ilipo Manispaa ya Ubungo na Ofisi ya mkuu wa wilaya ya UBUNGO
Apartment hii ina sifa zifuatazo:
Vyumba Viwili vya Kulala
Chumba kimoja master
Sebule kubwa jiko zuri kubwa na public toilet
Bei: 200,000 × 5,6
Luku unajitegemea
Maji yanaflow ndani
Luku unajitegemea
Maji yanaflow ndani unajitegemea
Ndani ya fensi na Parking kubwa sana
Apartment hizi zipo MBEZI MWISHO LUGURUNI km 1.8 kutoka kituoni
Bodaboda 1000 tu mpaka mlangoni
Service charge ni shilingi 15,000
Agent fee is one month payment
0716223412
0683597453