Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


(300,000 ร 6) MBEZI KIBANDA CHA MKAA
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐ 300k
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: Mbezi Kibanda Cha Mkaa
Umbali wa Kilomita 1 Kutoka Main Road, Barabara ni Nzuri Bajaj 500 Zinakushusha Getini na Bodaboda 1000
๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐
============
โข Vyumba VIWILI vya Kulala Kimoja wapo Master
โข Sebule
โข Jiko Kubwa zuri sana
โข Choo Kizuri Ndani Cha Familia
Apartment zipo 3 Ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani
๐๐ค๐๐ ๐ ๐ฌ๐ ๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 300,000 Malipo Miezi 6
๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Service Charge ni 15,000
Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja
Contact:
0654101710
0787205300