Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
Master bedroom nzuri inapangishwa Mbezi mwisho
Kodi 80,000 Kwa mwezi × 6
Umbali KM 1 Tu kutoka stand unaweza Kutembea dakika 15 au bodaboda 1000/=
Ndani ya fence, maji yanaflow chooni
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
0753454167