Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT MZULI YA KIBACHELA INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI
NI CHUMBA MASTER NA
SEBULE KUBWA
JIKO SAFI
UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
BEI NI 200,000/=X6
ILIPWE LAKI MBILI KODI YA MIEZI SITA
KUTOKA MOROGORO ROUD KM 1
USAFILI UPO WA BAJAJI 700
BODA 1000
UKIISHUKA KWENYE BAJAJI UNTEMBEA DAKIKA MBILI UMEFIKA
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15 UKIIPENDA UTAMLIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA
============
CALL 0683234124
0718367179