Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


#FULLY_FURNISHED
APARTMENT KALI SANA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBEZI BEACH
(BARABARA NI LAMI MPAKA KWENYE APARTMENT)
______________
KODI USD 500$ KWA MWEZI
_______________
APART NZURI YA KISASA (KUNA SWIMMING POOL 🏊♀️
_____________
YA KIFAMILIA
_______
YENYE:-
Chumba kimoja cha Kulala ambacho ni, #Master #Sebule kubwa #dinning #Jiko zuri lenye #Makabati la kisasa #Choo/#Bafu vya ndani public
#Gypsum #Tiles
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
Nje