Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APATIMENTI INAPANGISHWA IPO MBEZI MAGUFULI
UMBALI KUTOKA STENDI NI KM 1,5
BODA. 1000/
====
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA MASTER SEBULE. NA JIKO
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
===
KODI. 250,000/=
KUONA NYUMBA. 15000/=
DALALI 250,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
#0754589413