Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


NI APARTMENT KALI SANA INAPANGISHWA
LOCATION MBEZI BEACH AFRICANA UPANDE WA KULIA KAMA UNAELEKEA TEGETA
UMBALI KUTOKA BAGAMOYO ROAD NI DK.10 KUTEMBEA KWA MIGUU
BEI NI TZS 820K X1
SIFA ZAKE π
NI FULL FANITURE _INA KILA KITU NDANI ,YAAN WEWE UJE TU NA BEGI YAKO YA NGUO
CHUMBA KIKUBWA SANA NA CHOO CHAKE NDANI SEBULE KUBWA YA KUJIACHIA NA JIKO LAKE ZURI LA KISASA
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING KUBWA FULL GARDEN
NYUMBA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
PIA KUNA RESERVE TANK NA MAJI DAWASA YANATIRIRIKA NDANI
ILIPWE SHILINGI LAKI NANE NA ISHIRINI KWA MWEZI NA MUDA WA MALIPO NI MWEZI MMOJA TU
SERVICE CHARGE NI TZS 20,000
UKIIPENDA NYUMBA NA UKILIPIA ,MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
πΉπΏ KWA MATANGAZO YA KIBIASHARA WHAT'S UP+255715777904
CONT+255788145810
CONT+255743911414
Karibuni SANA DALALIMICHAELKANYERERE πΉπΏ
maikokanyerere904@gmail.com πΉπΏ