Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTIMENT INAPANGISHWA IPO SUCA KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI DK 3 TOKA MOR ROAD
NYUMBA VIWILI VYAKULALA KIMOJA MASTAR INASEBULE INAJIKO NA PABLICK TOILET
INATAILIZY GYUPUSAM DILISHA NYAVU
MAJI YANAFLWOR CHOONI
IPO NDANI YA FENSI
KODI 200 X 6
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI UKILIPIA NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343