Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA NA ZIPO ZA AINA MBILI TOFAUTI MBEZI KWA MSUGULI KM1 KUTOKA LAMI
BADO FINISHING NDOGO NDOGO KUMALIZIWA KUONA NA KULIPIYA LUKSA
----------
A....
Chumba master
Seble kubwa
Jiko
Luku yako
Maji yana flow
------------
Service charge 15,000 _=
Kodi 200,000/=×4
-------------
B...
Chumba master
Seble
Tiles Gypsum
Slide window
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence lakini ailazi gari ndani
--------------
Kodi 160,000/=×4
--------------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja tu.
---------------
Contact
📞#0676_218580(WhatsApp)
📞#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA 🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏